Saturday 3 May 2014

Ni wakati sasa wa kubadilisha maisha ya Mtanzania wa chini aliyekuwa akikosa huduma za muhimu kama nishati ya umeme, Technosys LTD sasa tunakuletea Solar panels, Solar Water Heater (SWH), Microinvertor and inverters Solar mini power stations, Batteries and backup Systems, Solar street lighiting, Wind Turbines, High Efficient Biomass Boilers na Fast Growing Energy Trees


1 comment:

  1. asante kwa bidhaa bora sana. ingekuwa vyema ndg mngetuwekea na gharama halisi ya bidhaa zenu ili tunapohitaji tujue tunaweza kupata bidhaa gani kwa urahisi

    ReplyDelete